Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 12:31-32

Kut 12:31-32 SUV

Akawaita Musa na Haruni usiku, akasema, Ondokeni tokeni katika watu wangu, ninyi na wana wa Israeli; enendeni, kamtumikieni BWANA kama mlivyosema. Twaeni kondoo zenu na ng’ombe zenu kama mlivyosema, enendeni zenu, mkanibariki mimi pia.

Soma Kut 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 12:31-32

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha