Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 6:1-4

Waefeso 6:1-4 BHN

Enyi watoto, watiini wazazi wenu Kikristo maana hili ni jambo jema. “Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.” Nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya Kikristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 6:1-4