Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 5:1-2

Waefeso 5:1-2 BHN

Kwa hiyo, mwigeni Mungu, maana nyinyi ni watoto wake wapenzi. Upendo uongoze maisha yenu kama vile Kristo alivyotupenda, na kwa ajili yetu akajitoa mwenyewe kama tambiko yenye harufu nzuri na sadaka impendezayo Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 5:1-2