Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 1:19-20

Waefeso 1:19-20 BHN

mpate kutambua jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno kwa ajili yetu sisi tunaoamini. Uwezo huo unaofanya kazi ndani yetu ni sawa na nguvu ile kuu mno aliyomfufua nayo Kristo kutoka kwa wafu, akamketisha upande wake wa kulia mbinguni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 1:19-20