Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 4:31

Kumbukumbu la Sheria 4:31 BHN

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye rehema, hatawaacheni wala kuwaangamiza, wala kusahau agano ambalo alifanya na wazee wenu kwa kiapo.

Video for Kumbukumbu la Sheria 4:31