Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 16:15

Kumbukumbu la Sheria 16:15 BHN

Kwa siku saba mtamfanyia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, sherehe mahali ambapo Mwenyezi-Mungu atapachagua; kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki kwa mazao yenu yote na katika shughuli zenu zote nanyi hakika mtafurahi.

Video for Kumbukumbu la Sheria 16:15