Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 3:16-18

Danieli 3:16-18 BHN

Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo. Ikiwa ndivyo, Mungu wetu ambaye tunamtumikia aweza kutuokoa katika tanuri ya moto mkali; tena atatuokoa mikononi mwako, ee mfalme. Lakini, hata kama haitafanyika hivyo, ujue wazi, ee mfalme, kwamba sisi hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyosimamisha.”

Soma Danieli 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 3:16-18