Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:22-24

Wakolosai 3:22-24 BHN

Enyi watumwa, watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati wanapowatazama kwa kuwa mnataka kujipendekeza kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha Bwana. Kila mfanyacho, fanyeni kwa moyo wote, kwa sababu ya Bwana na si kwa ajili ya mtu. Kumbukeni kwamba atawapeni tuzo lile alilowawekea watu wake. Mtumikieni Kristo Bwana!

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 3:22-24