Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 2:4

Amosi 2:4 BHN

Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Watu wa Yuda wametenda dhambi tena na tena, kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu. Wamepuuza sheria zangu, wala hawakufuata amri zangu. Wamepotoshwa na miungu ileile waliyoihudumia wazee wao.

Soma Amosi 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 2:4