Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:28

Matendo 27:28 BHN

Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arubaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini.

Video for Matendo 27:28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:28