Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 20:34-35

Matendo 20:34-35 BHN

Mnajua nyinyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu. Nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe: ‘Heri zaidi kutoa kuliko kupokea.’”

Video ya Matendo 20:34-35

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 20:34-35