Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:37-38

Matendo 2:37-38 BHN

Basi, watu waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza Petro na wale mitume wenzake: “Ndugu zetu, tufanye nini?” Petro akajibu, “Tubuni na kila mmoja wenu abatizwe kwa jina la Yesu Kristo ili mpate kuondolewa dhambi zenu na kupokea ile ahadi ya Roho Mtakatifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:37-38