Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:32-33

Matendo 2:32-33 BHN

Basi, Mungu alimfufua huyo Yesu na sisi sote ni mashahidi wa tukio hilo. Yesu alipokwisha pandishwa na kuwekwa na Mungu upande wake wa kulia, akapokea kutoka kwake Baba yule Roho Mtakatifu ambaye alituahidi, ametumiminia huyo Roho. Hicho ndicho mnachoona sasa na kusikia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:32-33