Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:32-33

Matendo 2:32-33 NEN

Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo. Basi ikiwa yeye ametukuzwa kwa mkono wa kuume wa Mungu, amepokea kutoka kwa Baba ahadi ya Roho Mtakatifu, naye amemimina kile mnachoona sasa na kusikia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:32-33