Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 17:24-25

Matendo 17:24-25 BHN

Mungu, aliyeumba ulimwengu na vyote vilivyomo, ni Bwana wa mbingu na dunia; yeye hakai katika hekalu zilizojengwa na watu. Wala hatumikiwi kwa mikono ya watu kana kwamba anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe ndiye anayewapa watu uhai, anawawezesha kupumua na kuwapa kila kitu.

Video for Matendo 17:24-25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 17:24-25