Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 11:15-17

Matendo 11:15-17 BHN

Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali. Hapo nilikumbuka yale maneno Bwana aliyosema: ‘Yohane alibatiza kwa maji, lakini nyinyi mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu.’ Basi, kama Mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine kipawa kilekile alichotupa sisi tulipomwamini Bwana Yesu Kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga Mungu?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 11:15-17