Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samueli 18:9-10

2 Samueli 18:9-10 BHN

Kisha Absalomu, akiwa amepanda nyumbu, alikutana na watumishi wa Daudi. Nyumbu huyo alipokuwa anapita chini ya tawi kubwa la mwaloni, hapo kichwa cha Absalomu kikakwama kwenye mwaloni. Absalomu akaachwa ananinginia juu. Lakini nyumbu wake akaendelea mbele. Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akininginia kwenye mwaloni.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samueli 18:9-10