Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samueli 18:33

2 Samueli 18:33 BHN

Hapo mfalme alishikwa na huzuni kuu, akapanda kwenye chumba kilichokuwa juu ya lango na kulia. Alipokuwa anapanda, akawa analia akisema, “Mwanangu Absalomu, mwanangu Absalomu! Laiti ningalikufa badala yako! Ole, Absalomu mwanangu! Mwanangu!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samueli 18:33