Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 2:14-15

2 Wakorintho 2:14-15 BHN

Lakini, shukrani kwa Mungu anayetuongoza daima katika msafara wa ushindi wa Kristo. Yeye hutufanya tuueneze ukweli wa Kristo kama harufu nzuri, kila mahali. Maana sisi ni kama harufu nzuri ya ubani ambayo Kristo anamtolea Mungu, harufu nzuri inayofikia wote, wanaookolewa na wanaopotea.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 2:14-15