Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mambo ya Nyakati 7:14-15

2 Mambo ya Nyakati 7:14-15 BHN

kama watu hao wangu wakijinyenyekesha, wakasali, wakanitafuta na kuacha njia zao mbaya, basi, mimi nitawasikiliza kutoka juu mbinguni; nitawasamehe dhambi yao na kuistawisha nchi yao. Sasa nitalichunga hekalu hili na kusikiliza maombi yatakayofanyika hapa

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Mambo ya Nyakati 7:14-15