Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 5:1-2

1 Timotheo 5:1-2 BHN

Usimkemee mwanamume mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana wa kiume kama ndugu zako, wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa kike kama dada zako, kwa usafi wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 5:1-2