Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 1:11-13

1 Timotheo 1:11-13 BHN

Mafundisho hayo hupatikana katika injili ya Mungu mtukufu na mwenye heri ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri. Namshukuru Bwana wetu Yesu Kristo aliyenipa nguvu kwa ajili ya kazi yangu. Namshukuru kwa kuniona mimi kuwa ni mwaminifu, akaniteua nimtumikie, ingawa pale awali mimi nilimtukana na kumtesa na kumdhulumu. Lakini Mungu alinionea huruma, kwa sababu sikuwa na imani bado, na hivyo sikujua nilichokuwa ninafanya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 1:11-13