Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 1:11-13

1 Timotheo 1:11-13 SRUV

kama ilivyonenwa katika Habari Njema ya utukufu wa Mungu ahimidiwaye, niliyowekewa amana. Nami namshukuru Kristo Yesu Bwana wetu, aliyenitia nguvu kwa sababu aliniona kuwa mwaminifu, akaniweka katika utumishi wake; ingawa hapo awali nilikuwa mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye ujeuri, lakini nilipata rehema kwa kuwa nilifanya hivyo kwa ujinga, na kwa kutokuwa na imani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 1:11-13