Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 9:4-5

1 Wafalme 9:4-5 BHN

Nawe kama ukinitumikia kwa unyofu wa moyo na uadilifu kama baba yako Daudi alivyofanya, ukitii amri zangu na kutimiza yale yote niliyokuamuru, ukifuata masharti yangu na maagizo yangu; basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha kifalme juu ya Israeli milele, kama nilivyomwahidi Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa mtu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 9:4-5