Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 3:6

1 Wafalme 3:6 BHN

Solomoni akamwambia, “Ulimwonesha mtumishi wako Daudi, baba yangu, fadhili nyingi, kwa sababu alikutumikia kwa uaminifu, uadilifu na kwa haki; na umedumisha fadhili zako kwa kumpa mwana anayeketi sasa kwenye kiti chake cha enzi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 3:6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha