Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:11

1 Wafalme 19:11 BHN

Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nenda ukasimame mlimani, mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu.” Basi, Mwenyezi-Mungu akapita na kuuvumisha upepo mkali ambao uliporomosha milima na kuvunja miamba. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika upepo huo. Upepo ukapita, kukawa na tetemeko la ardhi. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika tetemeko la ardhi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:11