Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 5:3-4

1 Yohane 5:3-4 BHN

maana kumpenda Mungu ni kuzitii amri zake. Na, amri zake si ngumu, maana kila aliye mtoto wa Mungu anaweza kuushinda ulimwengu. Hivi ndivyo tunavyoushinda ulimwengu: Kwa imani yetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 5:3-4