Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 3:2

1 Yohane 3:2 BHN

Wapenzi wangu, sisi ni watoto wa Mungu sasa, lakini bado haijaonekana wazi jinsi tutakavyokuwa. Lakini tunajua kwamba, wakati Kristo atakapotokea, tutafanana naye kwani tutamwona vile alivyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 3:2