Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 3:17-19

1 Yohane 3:17-19 BHN

Basi, mtu akiwa na mali za hapa duniani, halafu akamwona ndugu yake ana shida, lakini akawa na moyo mgumu bila kumwonea huruma, anawezaje kusema kwamba anampenda Mungu? Watoto wangu, upendo wetu usiwe maneno matupu, bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo. Hivyo ndivyo tuwezavyo kuwa na hakika kwamba sisi ni watu wa ukweli; na hatutakuwa na wasiwasi mbele ya Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 3:17-19