Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 9:26-27

1 Wakorintho 9:26-27 BHN

Ndivyo basi, ninavyopiga mbio nikiwa na nia ya kushinda; ndivyo ninavyopigana, na si kama bondia anayetupa ngumi zake hewani. Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 9:26-27

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha