Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 9:14-15

1 Wakorintho 9:14-15 BHN

Bwana aliagiza vivyo hivyo; wahubiri wa Habari Njema wapate riziki zao kutokana nayo. Lakini, mimi sikutumia hata mojawapo ya haki hizo. Na wala siandiki nijipatie haki hizo; kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kumfanya yeyote aone kwamba najisifu bure.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 9:14-15