Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 9:14-15

1 Kor 9:14-15 SUV

Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili. Lakini mimi sikutumia mambo hayo hata moja. Wala siyaandiki hayo ili iwe hivyo kwangu mimi; maana ni heri nife kuliko mtu awaye yote abatilishe huku kujisifu kwangu.

Soma 1 Kor 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 9:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha