Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 12:17-19

1 Wakorintho 12:17-19 BHN

Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa? Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda. Kama sehemu zote zingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 12:17-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha