Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 5:1-2

Waroma 5:1-2 BHND

Sasa, kwa vile tumefanywa kuwa waadilifu kwa imani, basi tunayo amani naye Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Kwa imani yetu, yeye ametuleta katika hali hii ya neema ya Mungu ambamo sasa tunaishi. Basi, tunajivunia tumaini tulilo nalo la kushiriki utukufu wa Mungu.

Video for Waroma 5:1-2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 5:1-2