Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 5:1-2

Warumi 5:1-2 SRUV

Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na muwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo mnasimama ndani yake; na kufurahi katika tumaini la utukufu wa Mungu.

Soma Warumi 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 5:1-2