Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 8:7

Ufunuo 8:7 BHND

Malaika wa kwanza akapiga tarumbeta yake. Mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto pamoja na damu ukamwagwa juu ya nchi. Theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua na majani yote mabichi yakaungua.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 8:7