Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 8:7

Ufu 8:7 SUV

Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya nchi; theluthi ya nchi ikateketea, na theluthi ya miti ikateketea, na majani mabichi yote yakateketea.

Soma Ufu 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 8:7