Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 6:14-15

Ufunuo 6:14-15 BHND

Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake. Kisha, wafalme wa duniani, wakuu, majemadari, matajiri, wenye nguvu, kila mtumwa na mtu huru, wakajificha mapangoni na kwenye miamba milimani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 6:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha