Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 6:14-15

Ufu 6:14-15 SUV

Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka mahali pake. Na wafalme wa dunia, na wakuu, na majemadari, na matajiri, na wenye nguvu, na kila mtumwa, na mwungwana, wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima

Soma Ufu 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 6:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha