Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:35-37

Marko 13:35-37 BHND

Kesheni, basi, kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi lini; huenda ikawa jioni, usiku wa manane, alfajiri au asubuhi. Kesheni ili akija ghafla asije akawakuta mmelala. Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 13:35-37