Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:35-37

Marko 13:35-37 NEN

“Basi kesheni kwa sababu hamjui ni lini mwenye nyumba atakaporudi: iwapo ni jioni, au ni usiku wa manane, au alfajiri awikapo jogoo, au mapambazuko. Kama akija ghafula, asije akawakuta mmelala. Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 13:35-37