Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 14:34-35

Luka 14:34-35 SRB37

Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepotewa na ukolezi itatiwa kiungo gani, ipate kukolea tena? Haitafaa tena, wala kutupwa shambani wala penye mbolea, ile huitupa nje tu. Mwenye masikio yanayosikia na asikie!

Soma Luka 14