Luka 14:34-35
Luka 14:34-35 Biblia Habari Njema (BHN)
“Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini? Haifai kitu wala kwa udongo wala kwa mbolea. Watu huitupilia mbali. Mwenye masikio na asikie!”
Shirikisha
Soma Luka 14Luka 14:34-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee? Haiifai nchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.
Shirikisha
Soma Luka 14