Matendo ya Mitume 5:38-39
Matendo ya Mitume 5:38-39 SRB37
Kwa hiyo sasa nawaambiani: Mtengamane na watu hawa, mwaache! Kwani mawazo hayo au kazi hizo zikiwa zimetoka kwa watu zitakoma; lakini zikiwa zimetoka kwake Mungu, hamwezi kuwakomesha, msije mkaonekana, ya kuwa mnagombana na Mungu.