Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo ya Mitume 5:3-5

Matendo ya Mitume 5:3-5 SRB37

Lakini Petero akasema: Anania, mbona Satani ameenea moyoni mwako, ukamdanganya Roho Mtakatifu na kuficha fungu la fedha za kiunga? Hakikuwa mali yako, uliyoweza kukaa nayo? Hata kilipokwisha kuuzwa, je? Hukuweza kufanya, kama ulivyopenda? Mbona umelitia jambo hilo moyoni mwako? Hukudanganya watu, ila umemdanganya Mungu. Anania alipoyasikia maneno haya akaanguka chini, akakata roho. Ndipo, woga mwingi ulipowaingia wote walioyasikia.