Marko MT. 13:35-37
Marko MT. 13:35-37 SWZZB1921
Kesheni bassi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au usiku wa manane, au awikapo jogoo, an assubuhi: asije akawasili ghafula akawakuta mmelala. Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia Wote, Kesheni.