Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko MT. 12:43-44

Marko MT. 12:43-44 SWZZB1921

Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambieni, Huyu mjane maskini ametia vingi kuliko wote wanaotia katika sanduku ya hazina: maana hawa wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi: bali huyu katika mahitaji yake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndio maisha yake yote pia.