Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 12:43-44

Marko 12:43-44 NEN

Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka katika sanduku la hazina zaidi ya watu wengine wote. Wengine wote wametoa kutokana na ziada ya mali zao. Lakini huyu mjane ametoa kutokana na umaskini wake, akaweka kila kitu alichokuwa nacho, hata kile alichohitaji ili kuishi.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 12:43-44