Luka MT. 7:7-9
Luka MT. 7:7-9 SWZZB1921
maana si stahili yangu wewe uingie chini ya dari yangu: kwa biyo nalijiona sistahili kuja kwako: lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona. Sababu mimi nami ni mtu aliyewekwa chini ya mamlaka, nina askari chini yangu: nikimwambia huyu, Nenda, huenda: na huyu, Njoo, huja; na mtumishi wangu, Fanya hivi, hufanya. Yesu aliposikia haya akamstaajabia akawageukia makutano waliokuwa wakimfuata, akisema, Nawaambieni, Hatta katika Israeli sikuona imani nyingi namna hii.