Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 17:1-2

Luka 17:1-2 RSUVDC

Akawaambia wanafunzi wake, Vikwazo havina budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye vinakuja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.

Soma Luka 17